

Kumbe Umeolewa??
Mtu unakutana nae vizuri unamuuliza kama ameolewa au ana bwana anakujibu oooh mimi nipo single. Unamuomba namba anakupa unaanza kutupia...


INTERVIEW: Mkaliwenu & Mamaa Ashura Times FM
Namshukuru Mwenyezi Mungu leo nilipata nafasi ya kuhojiwa kupitia kipindi cha KUBAMBA kinachorushwa hewani na Times FM Radio chini ya...


Mimi ninapiga ngumi balaa ona hii
Namwambia Mamaa Ashura hataki kuniamini kama mimi zamani nilikuwa mwanajeshi kama mumewe Bwana Mjeshi, sasa leo ndio kaamini... Angalia...


Wataalamu wa kuonja CHIPSI wamepata dawa yao
Wale wataalamu wa kuonja onja chipsi sasa nimeshagundua njia rahisi kabisa ya kuwakomesha, kama wewe ni miongoni mwao tazama hii video na...


Sikukuu ya Eid!
Kusema ule ukweli kutoka kumoyo Mamaa Ashura anaroho mbaya jamani, kama hauamini angalia hii video mpaka mwisho na uniachie comment yako...







