NAMBA YA SIMU
- Nov 8, 2016
- 1 min read
Namba ya simu ninayo moja sasa nikikupa nitabaki na nini?? Kuna jamaa aliuliza eti sasa kama unamnyima namba mbona tayari unaongea nae? Jamani mimi ni chizi na hapa nipo katika harakati zangu za UCHIZI....
Tazama video kisha nipe maoni mtu wangu.












Comments