INTERVIEW: Mkaliwenu & Mamaa Ashura Times FM
- Nov 14, 2016
- 1 min read
Namshukuru Mwenyezi Mungu leo nilipata nafasi ya kuhojiwa kupitia kipindi cha KUBAMBA kinachorushwa hewani na Times FM Radio chini ya mtangazaji Idris Kitaa, sikuwa pekeyangu nilikuwa mimi na Mamaa Ashura pamoja na Mjeshi.
Itazame inteview nzima nimekuwekea hapa mtu wangu kisha usiache kuniwekea comment pale kwa chini au siyo??












Comments