Kumbe RASI SIMBA hajui kingereza!!!
- Nov 9, 2016
- 1 min read
Kumbe Ras Simba na ujanja wake wote ule eti ooh ukijiunga na chuo changu ukasoma kwa muda wa miezi mitatu na usipojua kingereza nakurudishia hela yako ile ni mikwara tu. Nimempa mtihani mdogo sana lakini umemshinda...
Angalia video hii kisha niachie maoni yako juu ya kingereza cha Ras Simba.












Comments