Kumbe Umeolewa??
- Nov 17, 2016
- 1 min read
Mtu unakutana nae vizuri unamuuliza kama ameolewa au ana bwana anakujibu oooh mimi nipo single. Unamuomba namba anakupa unaanza kutupia ndoano zako ndo yanaibuka ya kuibuka, mimi sipendagi ujinga ujinga...
Angalia video hii nimekutana na mdada kilichomkuta ni hiki... Ukishaangalia niachie comments.












Comments