Sipendagi UJINGA MIMI
- Nov 9, 2016
- 1 min read
Wabongo bwana wakiona mtu kapata basi lazima watakutafutia mambo mambo ili wakufilisi, sasa namba yangu ya simu ninayo moja tu wewe unaniomba unategemea nini??? SIPENDAGI UJINGA MIMI.
Tazama video na uniachie Comments mtu wangu au siyo???












Comments