

Kumbe Umeolewa??
Mtu unakutana nae vizuri unamuuliza kama ameolewa au ana bwana anakujibu oooh mimi nipo single. Unamuomba namba anakupa unaanza kutupia...


INTERVIEW: Mkaliwenu & Mamaa Ashura Times FM
Namshukuru Mwenyezi Mungu leo nilipata nafasi ya kuhojiwa kupitia kipindi cha KUBAMBA kinachorushwa hewani na Times FM Radio chini ya...


UCHAGUZI MAREKANI
Hii sio sawa mashindano yamefanyika sawa lakini nimeshagundua nini kilisababisha Donald Trump apewe ushindi badala ya Hillary Clinton......


MTV MAMA 2016
Hata kwa macho ya kawaida unaona jinsi fitina zilivyofanyika huko South Africa, haiwezekani wasanii wetu kibao wajikusanye waende kwenye...


Mimi ninapiga ngumi balaa ona hii
Namwambia Mamaa Ashura hataki kuniamini kama mimi zamani nilikuwa mwanajeshi kama mumewe Bwana Mjeshi, sasa leo ndio kaamini... Angalia...


Sipendagi UJINGA MIMI
Wabongo bwana wakiona mtu kapata basi lazima watakutafutia mambo mambo ili wakufilisi, sasa namba yangu ya simu ninayo moja tu wewe...


Wataalamu wa kuonja CHIPSI wamepata dawa yao
Wale wataalamu wa kuonja onja chipsi sasa nimeshagundua njia rahisi kabisa ya kuwakomesha, kama wewe ni miongoni mwao tazama hii video na...


Kumbe RASI SIMBA hajui kingereza!!!
Kumbe Ras Simba na ujanja wake wote ule eti ooh ukijiunga na chuo changu ukasoma kwa muda wa miezi mitatu na usipojua kingereza...


MKE MWEMA anatoka kwa BWANA
Kila mtu anakwambio eti oooh Mke Mwema anatoka kwa BWANA, sasa jamani hakunaga mwanamke ambaye yupo single au labda anatoka moja kwa moja...


Mashindano ya wachekeshaji Africa Mashariki
Mashindano yanayolenga kushirikisha wachekeshaji kutoka Africa Mashariki, Tazama video kisha fuata utaratibu ili ndoto zitimie......

