MTV MAMA 2016
- Nov 9, 2016
- 1 min read
Hata kwa macho ya kawaida unaona jinsi fitina zilivyofanyika huko South Africa, haiwezekani wasanii wetu kibao wajikusanye waende kwenye tuzo alafu matokeo yake tofauti, Tazama hii video then uniambie kama hii ni haki au laa.












Comments