

Sipendagi UJINGA MIMI
Wabongo bwana wakiona mtu kapata basi lazima watakutafutia mambo mambo ili wakufilisi, sasa namba yangu ya simu ninayo moja tu wewe...


NAMBA YA SIMU
Namba ya simu ninayo moja sasa nikikupa nitabaki na nini?? Kuna jamaa aliuliza eti sasa kama unamnyima namba mbona tayari unaongea nae?...









