

NAMBA YA SIMU
Namba ya simu ninayo moja sasa nikikupa nitabaki na nini?? Kuna jamaa aliuliza eti sasa kama unamnyima namba mbona tayari unaongea nae?...


Huyu hapa mume wa Mamaa Ashura
Ninavyopendaga kuingilia ugomvi wawatu sasa kimenikuta mwaya, dah ila ukiangalia hii video lazima utamuonea huruma Mamaa Ashura......


SCORPION
Mamaa Ashura muoga sana asa alikua anaogopa nini??? Embu itazame video kisha uniachie maoni yako... #Scorpion


MC wa birthday ya Diamond Platnumz
Kama ulikuwa hujui kama mimi ndio MC wa sherehe mbali mbali za watu tazama hii video utakubaliana na mimi na utaniachia comment yako hapa...


Simba anashtakiwa na wanakariakoo
Sisemi kitu video inajieleza, ila dah hata mimi nikitazamaga inapofika pale eti hoo 'Amechukua dada zetu wote kawapeleka ulaya' Iangalie...


Inde - Mkaliwenu ft Dully Sykes & Harmonize
Ni wakati wako sasa mtu wangu kuburudika na wimbo wangu mpya niliwashirikisha wakongwe wa muziki Tanzania... #IndebyDullySykes


Baby nimekununulia gari
Nimeangali ni zawadi gani inakufaa beibi nimeona nikununulie gari jipya kabisa limetoka yard leo leo. Iangalie then uniambie kama nikupe...


Mitandao ya simu wana-doubleclick namba za siku hizi
SIna makosa, mitandao ya simu sikuhizi ni ya kuwanayo makini sana huwa wanamtindo wa kudouble click namba za simu za watu mbali mbali...


Huu wimbo wangu DIAMOND kafanya Remix
Huu wimbo wangu Diamond Platnumz Kaufanyia remix usikilize ndo utaamini kama mimi sio mtu wa spoti spotiii... #Allthewayup #mkaliwenu











