Mimi ndio nimeandika nyimbo zote hizi
- Nov 7, 2016
- 1 min read
Mimi nimeanza zamani sana kuandika manyimbo haya, tangu enzi zile za 'Jaamani Tundaa.... Ntalipataje Tunda...' sasa nashangaa huyu mtangazaji anashindwa kunielewa... nisaidieni kumuelewesha watu wangu.
Angalia video kisha usisahau kuniachia comments mtu wangu au siyo??












Comments