top of page

Siku ya kupatwa-patwa

  • Nov 7, 2016
  • 1 min read

Leo tarehe 1 nimeitisha kikao cha familia ukweni, malalamiko yangu ni uonevu ambao mke wangu amekuwa akinifanyia, sasa leo amevuka mipaka kabisa baada ya kunipa adhabu nisiyostahili kabisa eti kisa kanipata na mwanamke mwingine kwenye nyumba ya kulala wageni...

Tazama video nzima hapa chini kisha uniambie nilikuwa na makosa gani jamani huu si uonevu huu???

Comments


Featured Videos
Recent Videos
Follow Me
  • Facebook Basic Square
  • Twitter Basic Square
  • Instagram - Black Circle

Please

SUBSCRIBE

kupata video mpya

Sponsors:

  • White Facebook Icon
  • White Twitter Icon
  • White YouTube Icon
  • White Instagram Icon

©2016 by Timamu African Media

bottom of page