Wema Sepetu si akanipigia simu bwana
- Nov 8, 2016
- 1 min read
Moja kati ya sms nzuri kwenye simu ni zile zinazoanzia na T-Pesa, M-Pesa na nyingine zenye pesa pesa, sasa leo nikapigiwa na Madam, nikaskutiiii nikaona dah hapa napigwa changa la macho ngoja nijiengue taratiiiibu.
Angalia video na unipe maoni yako hapa chini mtu wangu au siyo???












Comments