

Kumbe RASI SIMBA hajui kingereza!!!
Kumbe Ras Simba na ujanja wake wote ule eti ooh ukijiunga na chuo changu ukasoma kwa muda wa miezi mitatu na usipojua kingereza...


Sitaki tena CHURA nimeghairi
Nilimpigia simu mama baada ya kupata uhakika kuwa huku mjini watu hawaangalii sura wanaangalia mwanamke kama ana CHURA???? Sasa vijana wa...


Sikukuu ya Eid!
Kusema ule ukweli kutoka kumoyo Mamaa Ashura anaroho mbaya jamani, kama hauamini angalia hii video mpaka mwisho na uniachie comment yako...


Wema Sepetu si akanipigia simu bwana
Moja kati ya sms nzuri kwenye simu ni zile zinazoanzia na T-Pesa, M-Pesa na nyingine zenye pesa pesa, sasa leo nikapigiwa na Madam,...


Mimi ndio nimeandika nyimbo zote hizi
Mimi nimeanza zamani sana kuandika manyimbo haya, tangu enzi zile za 'Jaamani Tundaa.... Ntalipataje Tunda...' sasa nashangaa huyu...


Wa-Instagram
Baada ya kuponyeka kwenye ule mzugo wa kidigitali si ndio nikakutana na Wa-Instagram, nikaona nimeshaula kumbe mweeeeh! Ila kusema kweli...


Sikuhizi Kidigitali
Sikuhizi kidigitali unapata ambacho unakiona ila leo nikakutana na ambacho hata ukikiona vipi hakipatikani kwa urahisi, nikajikuta napiga...


Siku ya kupatwa-patwa
Leo tarehe 1 nimeitisha kikao cha familia ukweni, malalamiko yangu ni uonevu ambao mke wangu amekuwa akinifanyia, sasa leo amevuka mipaka...










